Search This Blog

Wednesday, October 13, 2010

TZ BARA KAMPENI CHAFU HADI LINI?????????

Ebu ona wenzetu wa Zanzibar. Mabango yote yapo powaaaaaaa!!!!!!!!!! NO MCHANIKO.
Congratulations!!!!! People of Zanzibar.




CHECK UPANDE WA TANZANIA BARA SASA..........................

Je Huu Ni Uungwana ????????  Kuchana mabango ya wagombea????

Je Hili nalo Je????
Mbona halijachanwa? Au ndo Maisha bora kwa kila MTZ !!??



1 comment:

  1. Hizi ni propaganda za CCM LAKINI SIJUI NIMTUME NANI akawaambie wananchi tumeshtuka hata wakichana mpaka bendera watakuwa wamekalia kuti kavu. Hatudanganyiki ng'o!!! Tumeitwa wadanganyika kwa miaka nenda rudi sasa tunaitwa watanzania,ni aibu kwa chama kilichokaa madarakani kwa miaka nenda rudi leo wanajaribu kung'ang'ania madarakani ili iweje? Nani amewadanganya kwamba waliwekwa hapo ili watawale milele? Its a time for changes time for a revolution and YES,WE CAN. Its i and me to bring those changes ili tumweke kiongozi ambaye anaonekana kutenda haki na msema kweli. IT BEGIN WITH YOU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete