Search This Blog

Wednesday, October 13, 2010

NAMNA GANI TUNAMUENZI BABA WA TAIFA?? 14/10/2010

            


















HAKUJALI KUCHAFUKA NA TOPE.                           MKEKA WA NINI SHAMBANI?
NI KIONGOZI GANI KATIKA AWAMU ZILIZOPITA HADI SASA AMEWEZA  KUENZI KWA VITENDO ALIYOYAFANYA MWALIMU NYERERE???? 
Tukumbuke mazuri aliyoyafanya Mwl. Julius K. Nyerere ili kuhamasisha jamii kushiriki kwa vitendo shughuli mbalimbali za kuinua uchumi wa Taifa letu.

NAWAKILISHA.

2 comments:

  1. Kaka sina budi kutumia munya huu kukupongeza kwa kuandika vitu ambavyo vinamgusa mzalendo yeyote wa Tanzania hasa tukimkumbuka marehemu baba wa Taifa kwa jinsi alivyowajibika kutuonyesha mfano mzuri kabla mauti hayajampata. ni fedheha kwa Taifa zima kuwaona viongozi wa taifa hili wakiendelea kujizolea misifa na kuiba hela ya wananchi bila kujali kwamba Taifa linaelekea wapi na bila kuchukua mifano iliyo hai ya hayati baba wa taifa. Tujiulize swali watanzania,hivi nyerere akifufuka viongozi hawa wenye uchu wa madaraka watamwambia nini kwa haya yanayoendelea kufanyika siku hadi siku,mbaya zaidi kwa kutumia vyombo vya usalama kutishia vyama vingine eti visitawale,kwa misingi gani ya kidemokrasia?? Kikwete awe makini la sivyo tunaelekea pabaya ndugu zangu. Asante na ubarikiwe kaka. Niite Solomon lekui toka Arusha au tumia lekuijunior@gmail.com

    ReplyDelete
  2. hatuwezi kumpata kiongozi kama mwalimu daimaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete