Search This Blog

Friday, October 8, 2010

SHEREHE YA KUTIMIZA MIAKA 60 YA MHE. KIKWETE

Hii ndo ilikuwa Keki yenyewe. Inameremeta kichizi!!!!!!!!
JK anamlisha Keki mmoja ya Wajukuu zake.
Akamlisha Mke wake Mama Salma. Kumbuka sherehe ilifanyika viwanja vya WAMA
Mguu Sawaaa! Wafungua Champaigne wakiwa tayari kwa shughuli hiyo.
Hongera Mkuu!!!!!
Mhe. Kikwete akipokea zawadi kutoka kwa kijana wake Ridhiwan.
Mtangazaji Ephraim Kibonde akamzawadia JK jezi ya timu ya Taifa Morocco.
Ukafika wakati wa Aladjiii aladjiiiiii...
Mhe. Kikwete akibadilishana mawazo na Wanamuziki nguli, Prof J, na Mwana FA







No comments:

Post a Comment