Search This Blog

Monday, October 4, 2010

KILIMO KWANZA BWANAAAAA!!!!!!!!!!

Kumbe jamii ikiamua INAWEZEKANA kuongeza chakula katika kaya. Matumizi bora ya ardhi kwa kuzingatia kilimohai na endelevu katika maeneo ya uzalishaji jamii itaweza kujipatia ongezeko la chakula na kuongezeka kwa kipato.

No comments:

Post a Comment