Search This Blog

Monday, October 25, 2010

KISWAHILI

Bango likiwa na ujumbe unaosomeka "SISI SOTE TUPIGANISHE UBAKAJI" Sina hakika kama neno TUPIGANISHE ni sahihi hapo, najaribu kujiuliza alikuwa anamaanisha awachukuwe wabakaji alafu awapiganishe au???  Hapana bado haiingii akilini...Nafikiri angeweka neno TUPINGE labda lingeleta maana zaidi. BAKITA Mpoooooo!!!

1 comment:

  1. Hiyo imenitouch mtu wangu duh sasa hilo bango liko wapi? hicho sio kiswahili labda kama lipo ktk nchi ambazo ndo wanajifunza kiswahili sitaki kuamini kama hiyo kitu ipo tz

    ReplyDelete