Search This Blog

Saturday, October 9, 2010

PWEZA NA UTABIRI WA MECHI YA STARS NA MOROCCO

Pweza ambaye amejizolea sifa ya utabiri wa matokeo ya mpira wa miguu, bado hajatoa rasmi matokeo yake ya utabiri wa mechi ya leo kati ta Tanzania (Taifa stars) na Morocco kwa kile kinachosemekana MATOKEO yanaweza kuchakachuliwaaa!!!!!!!!! Lakini Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Taifa Stars.

No comments:

Post a Comment