Search This Blog

Wednesday, October 6, 2010

ZE HOUSE YA KILI BONGO STAR SEARCH 2010.


Kama lionekanavyo jumba la kuvutia linalotumiwa na washiriki wa Kili Bongo Star Search 2010 chini ya udhamini mkubwa wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia kinywaji chake cha Kilimanjaro Premium Lager, ambapo mpaka sasa washiriki ishirini wapo ndani ya mjengo huu na watakaa mpaka mashindano BSS yatakapo malizika kwa mwaka huu 2010.

No comments:

Post a Comment