Search This Blog

Wednesday, November 3, 2010

PAMOJA NA JK KUINGILIA TUME YA UCHAGUZI, NYAMAGANA NA ILEMELA YAENDA CHADEMA.

Kulikuwepo na kila dalili za kuchakachua matokeo ya Ubunge katika Majimbo ya Ilemela na Nyamagana ambapo nguvu ya umma ilisimama kidete kuhakikisha kuwa hakuna kuchakachua matokeo ya uchaguzi.
Barabara zilifungwa na wananchi

Kamanda Siro akiwatuliza wananchi wawe na subira ya matokeo

Baadhi ya wananchi wakiwa juu ya baadhi ya majengo wakiwa na hamu ya kutangazwa matokeo
Polisi wakaanza kuwatawanya wananchi kwa mabomu ya machozi


Wanahabari nao waliathirika na mabomu. hapo wakinawa kwa maji kupunguza nguvu ya athari za mabomu


Baadhi ya wananchi wakiwa wamepanda juu ya miti kusubiria kutangazwa kwa matokeo ya Ubunge jimbo la Nyamagana na Ilemela

Pipooooz.........Pawaaaaaaaaaaaa

Hatimaye Mhe. Wenje akiwatuliza wananchi kuwa wapole wasubiri tamko la Tume ya uchaguzi ambapo Wenje alishinda Nyamagana akimbwaga Masha na Highness akishinda Ilemela akimbwaga Diallo

No comments:

Post a Comment