Search This Blog

Wednesday, November 3, 2010

Mhe Dr. Shein aapishwa Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dr. Ali Mohamed Shein akila kiapo cha kuiongoza Serikali ya Zanzibar.

Rais Wa Zanzibar aliyemaliza muda wake Amani Abeid Karume akimpongeza na kumkabidhi miongozo ya kazi Rais Mpya wa Zanzibar Dr.Ali Mohamed Shein wakati wa sherehe za kuapishwa zilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Amaan mjini Zanzibar leo asubuhi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikaguwa gwaride la vikosi vya majeshi ya ulinzi na usalama, baada ya kula kiapo kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika sherehe zilizofanyika uwanja wa Amani leo

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akimpongeza mumewe Dr.Ali Mohamed Shein muda mfuoi baada ya Dr.Shein kuapishwa kuwa Rais Mpya wa Zanzibar leo asubuhi.

No comments:

Post a Comment