Search This Blog

Wednesday, April 6, 2011

Msaada kwenye tuta...Eti hili gari lipo kiofisi??

Jamani gari la serikali (pesa za walalahoi)  limepakia mkaa na mazagazaga kibao, nadhani linatoka shopping kwa ajili ya kigogo fulani. Ninachojiuliza ni kuwa lipo kikazi zaidi??? au ndo kasi mpya????

No comments:

Post a Comment